Tuesday 1 December 2015

13:07
Advertisement


Katika chat ya Jana November 30, 2015 kwenye Harban Hit Top 10 za kituo cha kimataifa kilichopo nchini Ufaransa Trace Tv  zilikuwa kama ifuatavyo:-
10.The Weeknd-The Hills 9.Tecno-Duro 8.Jjc ft Olamide-Motiwa 7.Future ft Drake- Where ya at  6.Vanessa Mdee-Never Ever 5.Travis Scott-Antidote 4.Davido ft Olamide 3.Drake-Hotline Bling 2.Phyno-Connect 1.Adele-Hello
Leo Desember 1, 2015 tayari nimepata zote na ndio hizo hapa chini, ambapo Tanzanianayo bado inaendelea kuwa na muwakilishi wake Vanessa Mdee na wimbo wa Never Ever ambaye kaishikilia nafasi ya sita.
10.The Weeknd-The Hills
Advertisement
Newer Post
Previous
This is the last post.

0 comments:

Post a Comment